Watu milioni 1.7 kila mwaka hii nikwa mjibu wa WHO.Shirika la afya duniani WHO limesema, Watu zaidi ya bilioni 2.4 wameambukizwa kifua kikuu. Viongozi wa dunia wanapaswa kuonyesha kujitolea kwao kuhakikisha kwamba kila mtu aliyeathiriwa na TB anapata uchunguzi, matibabu na huduma. Ambapo  tatizo hilo  linaua watu milioni 1.7 kila mwaka. 

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK