Diana kutoka shule ya sekondari kitunda atoa maoni juu ya ukatili kwa watoto.


Nikiona mtoto mwenzangu anafanyiwa ukatili, mimi kama mtoto nina wajibu wa kutoa taarifa sehemu husika kama vile kwa wazazi, polisi, vyombo vya habari, serikali za mitaa au mashirika  Hayo nimaoni ya Diana,kutoka shule ya sekondari Kitunda jijini Dar es salaam nchini Tanzania, Hiitaarifa ni kwamjibu wa CDF Tanzania.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK