Maadhimisho ya maralia duniani kitaifa yanafanyikia kasulu mkoani kigoma.
Waziri Wa Afya @umwalimu
akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda mrefu Mwantum Mohammed baada
ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda
mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri wa mwaka mmoja.
0 comments:
Post a Comment