Mh. Ummy kupitia ukulasa wake wa tweeter juu ya kutokomeza malaria nchini.

   Mhe. Ummy Mwalimu waziri mwenye dhamana ya wizara ya afya akishirikiana na viongozi wengine safari waielekeza kasulu,   pamoja na Mhe Rose Tweve (Viti Maalum, Iringa), Mhe Kasuku Bilago (Buyungu) na Andy Karas Mission Director @USAIDTanzania kuweka mipango na mikakati ya kutokomeza #Malaria nchini. Shiriki moja kwa moja kutokomeza Malaria.


Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK