Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mpango wa Malengo ya Maendeleo ya kudumu yaonyesha malengo 17 hadi 2030.


   Haya ndio malengo makuu ya umoja wa mataifa inayo yasimamia duniani kote hadi kufikia 2030 , mwanchi nikiungo muhimu akishiriki ilikufikia malengo haya kwakila taifa kukomesha njaa na mengine yote yalio orodheshwa hapa je, wewe utasimamia lengo lipi ilikuunga mkono umoja wataifa?
 1-Kukomesha Umaskini 2-Hakuna Njaa 3-Afya 4-Elimu 5-Usawa wa Jinsia 6-Maji na Usafi wa mazingira 7-Nishati safi 8-Uchumi 9-Innovation 10-Kupunguzwa kukosekana kwa usawa 11-Mipango Miji 12-Kupunguza Matumizi 13-Hali ya hewa 14-Bahari 15 -Baada mbalimbali 16-Amani 17-Ushirikiano. Hii nikwa mjibu wa shirka la mpango wa Malengo ya Maendeleo ya kudumu SDG.
 

Post a Comment

0 Comments