Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mtoto chini ya umli wa miaka 14 asi chanjwe bila ridhaa ya wazazi au walezi.NI MARUFUKU KUTOA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA WATOTO WA MIAKA 14 BILA RIDHAA ZA WAZAZI "Naomba kutoa rai nikiwa hapa Tanga , mtoto achanjwe pale ambapo mzazi wake akiwa ameridhia. Msimchanje mtoto bila ridhaa. Hili ni agizo kwa nchi nzima" Hayo yamezungumzwa na waziri wa afya Mhe. UMMY MWALIMU akiwa jijini Tanga.

Post a Comment

0 Comments