Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Unicef Tanzania ya shauri mtoto anyonyeshwe mara 8 kwa kutwa na mara 4 kwa nyakat za usiku.

Shirika la kuhudumia watoto duniani UNICEF Tanznaia wameshauli kwawale wote wanawake walio na watoto wachanga kufuata kanuni za unyonyeshaji wa watoto wao ilikuwajengea afya nzuri na imala,  Kwa ukuaji bora wa watoto wachanga, mama wanapaswa kunyonyesha angalau mara 8 wakati wa mchana na mara 4 usiku!

Post a Comment

0 Comments