Wekeza mda na Elimu kwa mtoto.

Maisha haya husababisha mtoto kudumaa kiakili ,mtoto huyu anaanzakujiandaa na majukumu makubwa na magumu yalio juu ya umli na uwezo wake je upande wa elimu ataweza kufikia malengo? Wekeza Elimu kwa mtoto ilikulijenga taifa la kesho.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK