Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Unicef tanzania yawataka wananchi kuzingatia kanuni za mlo ilikuepuka utapiamlo.

Kua na chakula kingi nyumbani sio kupona au sio kutougua magonjwa yeyote isipokua jinsi ya kufuata kanuni za mlo kamili kulingana na umli wa mtu , jambo hili halizingatiwi ndio maana watoto wengi huugua utapia mlo.
  Mikoa ya Iringa na Njombe nimiongoni kati yamikoa inayo zalisha cha kula kwa wingi chakushangaza ndio mikoa inayo ongoza wana nchi wake kwakupata utapiamlo.

Post a Comment

0 Comments