Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Unicef Rwanda imesema Baada ya miezi 6 mtoto inatakiwa ale chakula kizuri ilikumjenga afya yake.


Baada ya miezi sita, mtoto wako anahitaji kula angalau mara tatu kwa siku. Kumbuka kufanya chakula kiwe rahisi kutafuna wanapokuwa wadogo, na hakikisha kuwa chakula kiwekimepikwa tena kiive vizuri kwaajili yakuliwa umli wa mtoto, Hayo yamezungumzwa na UNICEF RWANDA ili kujenga afya nzuri ya mtoto.

Post a Comment

0 Comments