Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Unicef tanzania imesema Watoto milioni 7.6 kila mwaka hawanyonyeshwi maziwa ya mama hasa katika nchi tajiri duniani kote.


Watoto milioni 7.6 kila mwaka hawanyonyeshwi maziwa ya mama hasa katika nchi tajiri duniani kote.
Kwa mujibu wa utafiti uliotolewa leo na shirika la watoto duniani UNICEF, unaonyesha kuwa maziwa ya mama yanaokoa maisha na kuwalinda watoto dhidi ya magonjwa.
Nchi zenye kipato cha juu wawajawahi kunyonyesha watoto kwa wastani wa asilimia 22, ikiwa nchi zenye kipato cha chini na cha kati hawajawahi kuwanyonyesha kwa kiwango cha asilimia 4.
Utafiti huo, wa watoto unauwezekano mkubwa wa kunyonyeshwa kwa wakati mmoja, kwa asilimia 99 katika nchi ya Bhutan, Madagascar na Peru ikiwa watoto waliozaliwa Ireland wana asilimia 55, Marekani kwa asilimia 74  huku nchi ya  Hispania yenyewe ina asilimia 77% .

Post a Comment

0 Comments