Ushauli wa Dr. Mabula katika ukuaji wa mtoto.

Wataalamu wanasema,  Miezi 6 hadi Miezi 9: Mwanzishe vyakula vya nyongeza hasa vilivyopondwapondwa huku ukiendelea kumunyonyesha mara nyingi kadri mtoto anavyotaka. Kuanzia miezi 7 ongeza kiasi kidogo kidogo hadi 2/3 ya kikombe chenye mililita 250 kwa kila mlo, mara 3 kwa siku.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK