Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mapacha wawili watoa maoni juu ya siku ya mtoto wa afrika walipo tembelea okoa fm radio iliopo mkoani morogoro.

Kulwa na Doto ambao nimapacha (Winfrida na Willfrida Thomasi) wamesikitishwa kwa msiba wa Maria na Consolata mapacha walio ungana walio fariki mapema wiki hii , Pia wametoa maoni ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika  ambayo huadhimishwa kila tarehe 16 jun ya kila mwaka  serikali inatakiwa kuitangaza ipasavyo hasa mashuleni kwa wana funzi wenyewe kani maadhimisho haya yalitoktna na kudai Elimu bora nchini kwao.

Post a Comment

0 Comments