Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Meneja wa nmb akikabidhi Vefaa hivyo kwa baadhi ya watoto.


 Kuelekea kilele cha maadhimisho ya mtoto wa Afrika Tanzania Kids Time kwakushirikiana na NMB BANK, OKOA FM RADIO nawadau wengine wamefanikiwa kuwalejesha watoto 35 shule  kwakuwanunulia nguo za shule, Madaftali, pen, pencil, na Lura.
  Meneja wa NMB BANK Tawi la Mount Uruguru Bi, Liliana Abraham amewataka wazazi na walezi WA watoto hao kuwekeza  Elimu juu ya watoto ndio urithi Pekee katikamaisha yao.
  Hatahivyo Mkurugenzi wa Tanzaniakidstime.John Kabambala ameshukuru taasisi zote zilizo shiriki kufanikisha maadhimisho Hayo yalio fanyika Leo Katika Kata ya Mafisa ndani ya Manispaa ya Morogoro, Katika hatua nyingine Nd. Kabambala ametaka watoto hao kusoma kwabidii iliwaweze kuzikomboa familia zao.

Post a Comment

0 Comments