Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

zaidi ya watoto 300 chini ya umli wa 18 washiriki semina ya vipaji mkoani pwani.

Sirika la COMPASSION Tanzania lakutanisha zaidi ya watoto 300 kwaajili ya kuwafundisha kujua vipaji vyao nakuvitumia vema kwaajili ya utukufu wa MUNGU ,Semina hiyo imefanyika mkoani PWANI wilaya ya KIBAHA MJINI ilioanza tangu tarehe 27-28 yaonyesha mwanga nakuongeza matumaini juu ya watoto hao.

Post a Comment

0 Comments