Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Kila mtoto ana haki ya kupata Elimu ndani au nje ya taifa lake.


Mnamo 2017 UNICEF Tanzania iliunga mkono watoto wakimbizi wa Burundi huko Nduta, Mtendeli & Nyarugusu, kujifunza katika darasa 9, 13 & 14, ili kukaa mitihani yao ya mwisho,60% ya watoto hao kupita sisi itakuafahari kufanikisha swala hili la Elimu kwa watoto wanaoish kwenye makambi ya wakimbizi nchini Tanzania .
  Hatahivyo UNICEF Tanzania waliwashukuru mashirika mengine yalio unga mkono juu ya swalahili la Elimu ambaoni, USAID & UNICEF Burundi kwa msaada wao Ungana na mashirika,na Wadau wengine kuwakomboa watoto walio kimbia vita nchini kwao wasipoteze Elimu.

Post a Comment

0 Comments