Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Licha ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya ukatili wa kijinsia bado ni mtihani mkubwa nchini Tanzania.

Ukatili wa kijinsia hususan kwa wanawake na watoto unaendelea kutoa changamoto kubwa nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa takwimu za wizaya ya afya , maendeleoya jamii , jinsia, wazee na watoto ya nchini Tanzania mwaka 2017 pekee zaidi ya matukio 40,000 ya ukatili wa kijinsia yameripotiwa kama anavyofafanua Dr. Faustin Ndungulie naibu waziri wa wizara hiyo
Ili kutimiza malengo ya maendeleo endelevu SDG’s husuan lengo namba 5 la usawa wa kijinsia ifikapo 2030, Umoja wa Mataifa unaendelea kuzihimiza nchi wanachama kuchukua hatua kuhakikisha ukatili huo unakomeshwa. Je Tanzania inachukua hatua gani
Kwa upande wa watoto ambao pia ni waathirika wakubwa wa ukatili huo ,Dr. Ndungulile ametoa rai
.

Post a Comment

0 Comments