Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mh.Ummy atembelea Ujenzi wa Jengo la Mama & Mtoto Hospitali ya Rufaa Sekou Toure unaoendelea jijini Mwanza.


Ujenzi wa Jengo la Mama & Mtoto Hospitali ya Rufaa Sekou Toure, Mwanza. Kwa 2018/19 tumetenga Tsh 1.5b kwa ajili ya kuendelea na ujenzi huu. Tumedhamiria kuboresha huduma za Afya ya Mama & Mtoto nchini kwa kujenga miundombinu muhimu katika ngazi zote na kuongeza Wataalam watakao toa huduma hizo kwenye maeneo yote ya Hospitali hizo.
Hatahivyo Mh.Ummy amebainisha kwamba  Kikubwa zaidi nikuhakikisha kwamba Mama hatapata tabu iwapo ana tatizo la linalo mkabili mara moja linatakiwa kutatuliwa , Vilevile Matibabu juu Mtoto yanapaswa kuwa ya Uhakika kwakila kituo cha Afya  hapa nchini.

Post a Comment

0 Comments