Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Watoto nimuhimu kuwarithisha ubunifu.

“Muziki uliokoa maisha yangu” kauli hiyo yenye matumaini na yenye lengo la kuwahamasisha wakimbizi wanaopitia  zahma mbalimbali duniani ni kutoka kwa Mariela Shaker mkimbizi kutoka Syria aliyepata bahati ya kipekee ya kusoma kusoma katika chuo kikuu cha muziki  cha Monmouth, Illinois Marekani.
  Bi. Shaker ambaye ni mtaalamu wa kupiga fidla amesema hayo wakati akizungumza katika hafla ya mwaka ya wabunifu wa masuala ya kijamii inayofanyika kila mwaka huko bonde la ubunifu la Silicon jijini San Fransisco nchini Marekani.
Kumbukumbu zikamjia za madhila yaliyomkuta siku ya shambulio lililowauwa zaidi ya wanafunzi 82 katika chuo cha Aleppo nchini Syria mwaka 2011... Habari hii nikwa mjibu wa radio ya UN RADIO.

Post a Comment

0 Comments