Zaidi ya watoto 100,000 wakimbizi wamejiandikisha kuanza shule.


 UNICEF Tanzania imewashukuru washirika wanaunga mkono watoto wakimbizi wa Burundi na Wakongo kupata elimu katika makambi.     Hadisasa idadi niWatoto zaidi ya 100,000 wakimbizi tayali wamejiandikisha katika shule za msingi kwani elimu ni haki  ya msingi ya kilamtu kuipata.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK