Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mtoto ambyo huanza 1-7 august ya kilamwaka.

Hali ya unyonyeshaji kwa watoto inaonyesha bado kuna chanachangamoto  kubwa zinazo sababisha  mtoto asinyonyeshwe hadi kufikiasha umli wa miaka miwili,  Tanzaniakidstime ilitembelea wilayani makete iliopo mkoa wa NJOMBE nakuzungumza na wananchi mkoani humo nakuwauliza swali kwanini wadada wengi huachisha kunyonyesha watoto wao chini ya umli wa miaka miwili? Miongoni mwa wale walio jibu ni Jonitha Chenelo yeye alijibu hivi, nikwasababu ya magonjwa yanayo pelekea Dkt.kumluhusu mzazi kusitisha unyonyeshaji watoto au kazi.

Post a Comment

0 Comments