UNICEF TANZANIA imesema nimuhimu kumnyonyesha mtoto saa ya kwanza baada ya kuzaliwa.


Kulingana na wiki ya umuhimu wa unyonyeshaji UNICEF TANZANIA imesema Uyonyeshaji ni jukumu la kila mtu katika nafasi yake. Familia, viongozi ngazi ya jamii, wafanyakazi wa afya, wataalamu wa masuala ya unyonyeshaji na marafiki sote tunawajibika.

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK