Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mawazo ya watoto nimuhimu kuzingatiwa.


Shirika la kuhudumia watoto UNICEF Tanzania  walikutana na wanafunzi sehemu ya Club ya Tuseme huko jijini  Mbeya wanafunzi walisema: "Tunafurahia kupata fursa ya kuzungumza na kutoa  mawazo yetu & kushiriki katika maamuzi yanayoathiri maisha yetu!" Kupitia hatua hii, UNICEF inawezesha vijana  vilabu 850.

Post a Comment

0 Comments