Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

mwajiri amrejesha masomoni mtoto ambaye awali alikuwa amemwajiri katika nafasi ya ufanyakazi wa ndani.

Bi Herieth Mkaanga ameamua kumrejesha masomoni mtoto ambaye awali alikuwa amemwajiri katika nafasi ya mfanyakazi wa ndani, Bi Mkaanga anasema amebadili mawazo baada ya kuifahamu historia ya mtoto huyumwenye umri wa miaka kumi na sita(16) ambapo mtoto huyo aliamuakutafuta kazi za ndani ilikupunguza ugumu wa maisha.
 Aidha Rehema Paul ambae ametokea kijiji cha Ndole wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro,ameamua kumueleza muajiri wake nia ya kuhusu kupata elimu.   

Post a Comment

0 Comments