Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Wazazi wametakiwa kuwa thamini watoto wao.

Wazazi wametakiwa kuwathamini watoto wao ilikuongeza upendo na uthamani wafamilia, hayo yamesemwa na mwalimu mkuu wa shule ya GRACIOUS PRE AND PRIMARY SCHOOL Gerald Marko iliopo katika manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.

Post a Comment

0 Comments