Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

WAZAZI ZINGATIENI LATIBA YA KUWAPIKIA WATOTO WENU.

watoto wanaweza kuwa na mawazo mazuri sana endapo watuwazima wakiyazingati na kuwapa na fasi ya kuwa sikiliza, mwanafunzi, wazazi wanapaswa kuludi mapema nyumbani ilikuwapikia watoto wao kwani watotowengine hawapati virutubisho vyakutosha kwasababu ya wazazi na walezi wao kutozingatia muda wakuwapikia, hayo yamesemwa na  CHALICHA MILANZI mwanafunzi wa GRACIOUS PRE AND PRIMARY SCHOOL iliopo Songea mkoani Ruvuma.

Post a Comment

0 Comments