Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

WATOTO WAKIKE KUWENI KAMA TAI YAMESEMWA NA PROF. EULALIA TEMBA , KUELEKEA MAADHIMISHO YA WANAWAKE DUNIANI MARCH 8 MWAKA HUU.

Wakati dunia ikiwa inajiaandaa kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambayo huadhimishwa kila tare 8 march ya kila mwaka , Chuo kikuu cha mzumbe kimeamua kualika watoto wa kike kutoka shule mbalimbali za sekondari nakuwafundisha nini chakufanya katika maisha yao.
  Ambapo prof. Eulalia akawasihii mabinti kubadili mitazamo yao kuhusu mafanikio ya kutegemea fursa za kuajiriwa bali watamani kuvumbua kazi zao nakuzalisha ajira zingine.

Post a Comment

0 Comments