Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TEF na UNICEF wame watunuku tuzo wandishi wa habari za watoto nchini, jijini tanga april 13,2019.

   Jukwaa la wahariri Tanzania kwa kushirikiana na shirika la kuhudumia watoto la umoja wa mataifa  nchini Tanzania UNICEF, wame watunukia tuzo wandishi wa habari za watoto jijini tanga.
Miongoni mwa wandishi wa habari kumi(10) walio tunukiwa nipamoja na mmiliki na muanzilishi wa tovuti hii ya Tanzania Kids Time  John Kabambala kutoka mjini morogoro.
  Aidha mkuu wa mawasiliano wa UNICEF nchini bi,Usiah Ledama amewataka wandishi hao waliopokea tuzo hizo na wasio pokea waongeza bidii ya kuandika na kuripoti habari zinazo wahusu watoto lengo likiwa nikutokomeza ukatili unaofanywa na ndugu wakaribu wa mtoto.
 Hata hivyo katibu mtendaji wa jukwaa la wahariri nchi Neville Meena amewasihi wahariri wote wavyombo vya habari nchini kuzipa kipaumbele habari zinazo husu watoto kwenye vyombo vyao ilizisikike na kwa jamii na serikari kuchukuwa hatua dhidi ya taarifa hizo.

Post a Comment

0 Comments