Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

MANISPAA YA MOROGORO YA UNDA MABARAZA YA WATOTO NGAZI YA MTAA HADI WILAYA.

Ofisi ya maendeleo ya jamii manispaa ya mkoa wa morogoro kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya watoto mkoani humo wamefanya uchaguguzi wa viongozi wa Baraza la Watoto mapema mwezi huu katika ukumbi wa mikutano wa ofisi hizo, ambao wataongoza kwa muda wa miaka mitatu kisha nakufanya uchaguzi tena.
 Viongozi walio chaguliwa ni
Mwenyekiti ni Geofrey Hubert,Mwenyekiti Msaidizi ni Paulina Anols, Katibu ni Amina Mohamed, Katibu msaidizi ni Venance Banzi,Mweka hazina ni Abduli Soud,miongoni mwa waliochaguliwa pia ni wajumbe wa baraza hilo kati ya wajumbe hao Msafiri Ramadhani yeye akiwa mjumbe wakudumu katika baraza hilo.
  Ambapo uchaguzi huo ulifanyika kwa usimamizi wa Maafisa Maendeleo wa manispaa hiyo.

Post a Comment

0 Comments