Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

CHAGUZI KUU MBILI MWAKA HUU WA 2019 NA 2020 KUNA UWEZEKANO WAKUONGEZEKA KWA HOFU KWA WATU WENYE UALBINO NCHINI, TAARIFA TOKA KITUO CHASHERIA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA:


  
  Kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania kimetoa riporti yake inayo husu matukio mbalimbali yakiwemo ya ukatiri dhidi ya watoto nchini , Ambapo Mkurungenzi  wakituo hicho Bi, Anna Henga amesema Hofu imezidi kuongezeka kwa watuwenye ulemavu wa ngozi wenye Ualbino hasa wakati huu nchi inapoelekea kwenye chaguzi kuu mbili mwaka huu na mwaka kesho 2020 hali inaweza kuwa mbaya kwenye kundihili, Aidha historia inaonyesha  kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wamekuwa wakifanyiwa ukatiri .
   Hata hivyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo jijini Dar es Saalam Bi, Henga amesema hali inazidi kuwa mbaya kuhusu ukatiri wa kingono na akitaja  kanda ya kwanza hadi ya mwisho, kanda ya Ziwa ikishika nafasi ya kwanza kwa  Asilimia 38 Kanda ya Nyanda za juu kusini Asilimia 32 Na kanda ya  Pwani ikiwa  ni Asilimia 9 nakanda ya kasikazini ikishika Asilimia 9 Kanda ya kati yenyewe ikitajwa kua na Asilimia 7,Mwisho ikiwa ni  Kanda ya magaribi kwa  Asilia 5 Na asilimia sitini na sita (66) niukatiri wakingono dhidi ya watoto  huku ukatiri wa kimwili ukitajwa kushika na fasi ya pili kwa  asilimia thelathini na nne (34)  taarifa hii ikiwa nikipindi cha kuanzia mwezi wa kwanza hadi mwezi wa sita mwaka huu.


Post a Comment

0 Comments