Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Hatima ya maisha ya mtoto mlemavu na sio mlemavu iko mikononi mwetu,wana njombe wazungumza.


Jamii na serikali Nchini zimetakiwa kujiwekea utamaduni wa kuwalea na kuwatunza watoto wanaoishi na ulemavu na wasio walemavu ili waweze kupata huduma bora zilizopo katika kilanyanja kwani pia wanahaki kama wengine za kufanya kazi kulingana na ulemavu wao ili kuchagiza maendeleo ya kudumu ya umoja wa mataifa(SDGs).
  Rai hiyo imetolewa na Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ludewa Charlse Mpangala  alipokuwa anazungumzia hali ya watoto wenye ulemavu katika wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe.
   Hatahivyo wananchi na wadau mbalimbali wameelea hisia zao kuhusu matendo mabaya wanayo fanyiwa watoto jambo ambalo nikinyume na maadiri na sheria za nchi.
  Aidha Nicksoni Mahundi antoka kwenye shirika la IDOYDC hili nishirika lisilo la kiserikali linalofanya shughuli zake Iringa na wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe  ametoa wito kwa jamii kuendelea kuwasaidia watoto wenye mahitaji mbalimbali ilikuwaunga mkono ndoto zao. Na mwandishi wetu kutoka Ludewa Njombe
Mr.SALUM.

Post a Comment

0 Comments