Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

JINSI YA KUMNYONYESHA MTOTO TANGU KUZALIWA.

  Wakati dunia ikiadhimisha wiki ya unyonyeshaji wa watoto Agosti 1-7, kuna baadhi ya changamoto ambazo zimetajwa katika kukwamisha akina mama kuwanyonyesha watoto wao katika miezi sita ya kwanza tangu mtoto anapozaliwa, lakini pia jinsi ya kumnyonyesha mtoto nayo ni changamoto kwa wengine.
   Mwakahuu yakibeba kauli mbiu, "wawezeshe wazazi kufanikisha unyonyeshaji", muuguzi Jostina Shirima kutoka kituo cha afya kijiji cha Lubeho wilaya ya Gairo mkoani Morogoro ametoa mafunzo ya unyonyeshaji kwa wanawake kituoni hapo kwa ushirikiano wa shirika la Save The Children Tanzania.

Post a Comment

0 Comments