Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Wanafunzi wa tumia Muda wa mapumziko Kulawitiana huko shinyanga.


Vitendovya Ukatili wakingono na Ulawiti vimeshamiri katika maeneo mbalimbali katika Shule za Msingi, Wilaya ya  Kahama Mkoani Shinyanga hasa muda wamapumziko.
  HayoyameelezwanaMsaidizi wa Dawati la JinsiaWilayani humo Jane Erasi wakati akizungumza ofisini kwake.

 Ambapo amesema wazazinawalezi wawanafunzi kwakushirikiana najamii wametakiwakutovifumbia macho vitendohivyo nabadalayake watoetaarifa kwenyemamlaka husika, pindiwanapobaini kuwepokwavitendohivyo hatuaambayoinalenga kuwanusuruwanafunzi kuendeleakufanyiwaukatilihuo. 

Katikahatuanyingine Bi,Erasi amesema kunakikundi cha watoto ambao hawaendishuleni nawamekuwawakiwaviziawanafunzi hasawanaoishi maeneoyambalinashule kishakuwafanyia ukatili. 

   Hatahivyo amewaonya wanafunzi kujiepushanatamaa yavituvidogovidogo ambavyovinapelekea kujihusishanamapenzi katika umrimdogo , nahatimae kukatishamalengoyao yabaadae hukuakiwa  asawazazi na walezi kuachatabia ya kuwafanyishabiashara watotowao hasanyakati Za Usiku.

Post a Comment

0 Comments