Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Chanzo cha mkuu wa mkoa wa mbeya kuwachapa wanafunzi mbele ya wenzao na walimu wao ni hiki.
  Zaidi ya  wanafunz 13 wa shule ya secondar kiwanja iliyopo Wilayan chunya Mkoa Mbeya mapema hii leo wamekutana na adhabu ya viboko kutoka kwa mkuu wa mkoa wa mbeya Mh. Albart Chalamila wakat alipotembelea shulen hapo na kuzungumza na wanafunz pamoja na walimu,kuhusu kitendo cha wanafunz hao kukutwa na simu na siku chache nabaada ya kunyang’anywa simu hizo mabwen yakachwamwa moto jambo ambalo limemshangaza mkuu wa mkoa huyo na kuamua kuwaadhibu wanafunz hao kwa kuwachapa viboko mbele ya wanafunzi na walimu wao.  


  Aidha mbali na watoto waliochapwa viboko,kuna baadhi yawanafunz wengine 13 ambao wanatuhumiwa kuchoma bweni moto wanashikiliwa na jesh la polisi Wilayani chunya kwa uchunguz zaidi ambapo wapo wengine wako chini ya umri wa miaka 18,kwenye tukio hilo hakuna mwanafunzi yoyote aliepata madhara katika tukio hilo kwan wanafunz wote walikuwa wanajisomea muda huo  na moto huo ulizuka sept 30 mwaka huu.

Hata hivyo Mh. Chalamila amesema kwamba inasadikika kuwa wanafunzi hao walikuwa wanalipiza kisasi baada ya smu zao kuchukuliwa na uongozi washule,hivyo walitaka kuchoma bweni linguine na nyumba ya mwalimu ikiwemo ofisi iliotunza nyaraka za serikali jambo ambalo linge iweka shule hiyo kwenye wakati mgumu kiutendaji. Kwaupande wake Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Maryprisca Mahundi amesikitishwa na tukio hilo nakuwasihi wanafunzi kusoma na siokujihusisha na mambo mengine yanyo ashiria uharifu,wanafunzi walioathirika kwakukosa mabweni ya kulala katiaka ajali hiyo ni 150 na kwamba mpaka sasa misaada mbalimbali imetolewa na wadau wa maendeleo ya Elimu ndani na nje ya Wilaya hiyo.
Na Veronica Mtauka. 


Post a Comment

0 Comments