Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Maisha magumu kisiwe kisingizio cha kufanya ngono zembe kwenu ninyi vijana wadogo,ni kutokea wilaya ya mbogwe mkoani geita.


                          NGONOKWAWATOTO
 Maishamagumu imekuwa nimoja kati yakisingizio kikubwa kwavijana wakiume namabintiwengi hapanchini kushiriki ngonozembe kwa watu wanaowazidi umri bilakujali afyazao na malengo yao.
  
  Akizungumza katika warsha fupi ya elimu ya vijana Mkurugenzi waelimu ya kikristo kwa vijana katika kanisa la AIC lulembela local Church ya mwingilo, Mwinjiristi Paul Richard Amesema mabinti wengi wamepotea nakuharibu maishayao ya badae kutokana na kushindwa kujisimamia wao wenyewe katikamaamuzi.
 
  Aidha Paul Richard amesema mabinti wamekuwa hawaeleweki katika maishayao kutokana na kuwa wepesi wakushawishika navitu vidogo ambavyo wanapokea kutoka kwa wanaume.

  Kwaupandewake Veronica Ndabagoye ambaye ni mzazi aliyehudhuria Katika warshahiyo,amesema Makundi yamekuwa chanzo chamabinti wao kujiingiza Katika ngono zembe wakiwa na umrimdogo,kwaupande wake Zephania Juma amesemamafunzohayo kwake yamemusaidia kujisimamia mwenyewe katikamaamuzi.

    Na Nichoraus Paul Lyankando Mbogwen Geita.

Post a Comment

0 Comments