Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Mwalimu Mkuu washule shule ya msingi Ikunguigazi iliopo Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita ndg.Christopher Mwita Mungasi,Ame walalamikia Wazazi kutokuwa na tabia ya kwenda shuleni Mara kwa Mara ilikufuatilia maendeleo ya watoto wao.

Mwalimu  Mkuu washule shule ya msingi Ikunguigazi iliopo Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita ndg.Christopher Mwita Mungasi,Ame walalamikia Wazazi kutokuwa na tabia ya kwenda shuleni  Mara kwa Mara ilikufuatilia maendeleo ya watoto wao jambo linalinalo sababisha utoro sugu kwa baadhi ya wanafunzi washule hiyo.

  Aidha Mungasi Ameendelea kusema kuwa utoro katikashule yake umechangiwa kwa kiasi kikubwa kutokana nawazazi hao kuto baini umuhimu wa  elimu na wengine bado wana amini mtoto wakike elimukwake sikituchakutilia maanani wakati imani hizo zimekuwa zikipigwa marufuku na serikali kwa kushirikiana na mashirika yasio kua yakiserikali hapa nchini.Ambapo umoja wa Mataifa ukiwataka nchi wanachama kutimiza malengo ya maendeleo ya kudumu ya umoja wa Mataifa hususani lengo namba nne(4) linalo sisitiza Elimu bora kwa kila mtu yaani SDGs.
  
 Hata hivyo kwaupande wa wanafunzi Ester Alex na Eliasi  Petro katikashule hiyo wamekiri kuwa baadhi ya wazaziwao hawashirikiani na waalimukufatilia maendeleoyao,mbalinakuwakagua na kuwa uliza ulikwenda shule basi,ingawa nijukumu la mwanafunzi kuhudhulia masomo kila siku za shule wengine wanatakiwa kusimamiwa na kufuatiliwa ndio wanaweza kufanya vizuri katika masomo yao.
  
  Huku baadhi ya wazazi Michael Matiasi na Angelina Silvan walio na watoto katika shule hiyo wakashauri wazazi wenzao kuongeza bidii a kufika kwenye mikutano ya shule ambayo huandaliwa na uongozi wa shule ilikuzungumzia maendeleo ya watoto wao na maendeleo ya shule kwa ujumla, kwahatua nyingine wamesema kwasasa dunia inamlazimisha kila mtu kutumia mabadiliko ya tekinolojia za kisasa hivyo mtoto kama hatajua kusoma hataweza kutumia mabadiliko hayo afikapo utu uzima.

                              Na nickoraus Paul lyankando Mbogwe Geita.

Post a Comment

0 Comments