Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

ZOEZI LA CHANJO LA IBUA MAPYA HUKO MBOGWE MKOA WA GEITA,WANA NCHI WATAKIWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KWENYE VITUO HIVYO.


  
Zoezi la utoaji chanjo kwa watoto limekamilika vizuri katika kataya Ikunguigazi Wilayani mbogwe
Hii ni kutokana na mwitikio wa wazazi na walezi juu ya umuhimu wa chanjo lakinielimu
nichangamotokwabaadhiyawazazikuhusumagonjwarubella,polionasurua.
  
   Wakizungumzana Tkt radio wahudumu waa fya katika vijiji vya buzigozigona Ikunguigazi
Wamesema wazazi wengi wakisikia magonjwa kamahayo huyachukulia kawaida kama
Magonjwa mengine lakini nimagonjwaa mbayo yana pelekea kifokwa watoto kama watakosa
Chanjohizo na wamesema wao kama wahudumu hupita kilafamilia wakitoa elimu ya magonjwa
Hayo naatharizake.
   
   Victor clement Ambaye ni muuguzimkungakatikazahanatiyaIkunguigaziamesemazoezila
uchanjajikwawatotoimekamilikavizurinawatotokupatakingakupitiachanjohiyochanjohizo
kwanizoezihilinilasikutanoleosikuyajumatatunimwishowazoezihili.
  
    PiaVictor clement ametoa maelezo mafupijuu ya chanjohiyo kwa watoto na ameyataja
Magonjwa hayo yatakayotolewa chanjo kwa watoto katika sikutano na akatoa wito kwa wazazi
Kuwapeleka watoto kupatiwa chanjo hiyo.
                 Na Nichoraus Paul lyankando Mbogwe Geita.

Post a Comment

0 Comments