Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Haki Elimu ya zindua report inayo bainisha baadhi ya mikoa kufanya/kutofanya vizuri kwa mitihani ya darasa la saba.
 Shirika la Haki Elimu Tanzania linalo jishughulisha na utafiti wa usawa na ubora wa elimu nchi  limetoa riport yake inayo lenga mikoa inayo fanya vizuri na isio fanya vizuri katika mitihani ya darasa la saba,kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu John Kalaghe amezitaja sababu hizo nipamoja na.

1.Nafasi hafifu  ya wazazi na walezi kuwahamasisha watoto kufanya vizuri katika Masomo na Mitihani yao ya mwisho,2.Umbali mrefu kutoka nyumbani kwenda shuleni na kutoka shuleni kwenda makao mkuu ya wilaya,3.Utofauti wa kimuundombinu/mazingira kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine,4.Changamoto zilizopo katika maswala ya kimenejimenti na kukosekana kwa hamasa ya na mbinu za ziada katika ufundishaji na ujifunzaji.

 Htahivyo Kalaghe amebainisha kwamba ipo mikoa inayo endelea kufanya vibaya kila wakati katika kipindi cha miaka mitanoiliopita nipamoja na Singida,Dodoma,Mtwara,Mara,Tanga,Kigoma,Tabora na Manyara.Post a Comment

0 Comments