KIJIJI CHA MTIMUA BINGWA WA KUWARUSHIA MAJINI WATOTO MKOANI GEITA
Wananchi katikakijiji cha Mwingilo, Kata
yaIkunguigazimkoaniGeita,
wamemfukuzakijijinihapoMgangawa Jadialiyefahamikakwajina la Mohamed Luhanga,
kwatuhumayakuwarushiamajinibintizao.
Wakizungumzakatikamkutanowahadhara,baadhiyawananchi
Charles Sambe, RodaBupilipili, na Paul
Mahugijawamesemamtuhumiwahuyoamekuwanatabiayakuwarushiamajiniwatotowaohukuakimtumiabintiyakekusambazamajinihayoilikupatapesapindianapowapamatibabu.
“hawawezikutusumbuawatu wane kijijikizimatunatakaaondokeatatupotezeamaarifakwawatotowetunapesawalizochukuawarudishe…”
wamesema
Kiongoziwamilawakijijihicho, `
JohnLusugaamesemawananchiwamemkataaMtuhumiwa Mohamed
kutokananakuchoshwanatabianavitendovyakevyakuvuruga Amani kwaniwapowazaziwatatuambaowalipelekataarifakatikauongozihuowakimtuhumumgangahuyowajadi.
Kwaupandewake
MgangawaJadianayetuhumiwakufanyavitendohivyo Mohamed
pamojanabintiyakewamekanatuhumahizokuwahawahusikinautegajiwamajinikatikakijijihichoingawauwezowakuyatoakutokakwamtuwanao.
“uwezowakuyatoamajinininao,
lakinihadinifuatedawandiponimtoleemajinibintihuyuamesema” Mohamed.
HatahivyoJeshilaPolisi,
lilifanikiwakufikakatikaeneohiloilikuepushamadharamakubwa,
kwaniwananchiwalitakawatuhumiwahaokuyatoamajinikablahawajaondoka.
“Tutaondokanahuyu dada pamojana Mohamed,
lakinininaombamuwewatulivu achene
kujichukuliasheriamkononinawotemliodhurikanahuyomgangamfikekatikakituo cha
polisi” amesemammojawaaskariambayejinalimehifadhiwa.
Na;NichorausLyakando,
Geita
0 comments:
Post a Comment