Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Utoro mashuleni bado nichangamoto kubwa kwa wilaya ya mbogwe mkoani geita.

Mbali na  Kuwepo kwa adhabu kali kwa wazazi wanaosababisha utoro mashuleni kwa wtoto wao,bado
umeendelea kushusha kiwango cha ufaulu wilaya ya Mbogwe mkoani Geita kutokana na wazazi wengi
Kushindwa kutoa ushirikiano wakutosha kwa walimu.

 Wakizungumza na TKT RADIO Renatus mwakalembe ambae ni Afisa mtendaji kata ya Ikunguigazi,Amesema utoro katikashule za msingi
na sekondari, bado ni tatizo kubwa kwani umekuwa ukichangiwa na baadhi ya wazazi kuwazuia watoto kwenda shule na kutowafatilia maendeleo yao ya kimasomo.

 Hatahivyo Mwakalembe amewatahadharisha wazazi ambao mpakasasa watoto waohawajaripoti shuleni kujiunga na
Kidato cha kwanza mwaka huu hatua kalizakisheria zitachukuliwa dhidiyao.

Aidha kwa baadhi ya wazazi Jumainne Manyasa na Tadeo Swele  wamesema chanzo kikubwa ni umbali wa kutoka nyumbani kwenda shuleni inaweza kuwa sababu ya utoro kwa watoto wao,Ingawa na umbali upo mrefu kisiwe chanzo kwa watoto na wazazi kuto fuatilia swala la elimu.

 Kwa upande wake mwalimu mkuu
wa sekondari ya Ikunguigazi ndg.Stephano Kusana ameelezea ukubwa wata tizo la utoro katika shuleyake
ambapo idadi ya waliofeli katika mitihani ya Taifa ya kidato cha Pili na cha Nne wengiwao walikuwa watoro.

Na Nichoraus Lyankando Mbogwe Geita.

Post a Comment

0 Comments