WAJASIRIAMALI WAMETAKIWA KUTENGA MUDA WA KUKAA NA WATOTO WAO
WANAWAKEwajasiriamaliManispaayaMorogorowametakiwakutengamudawakukaanakuwasikilizawatotowaoilikujuachangamotozinazowasibunasiyokutumiamudamwingikatikauzalishajinauuzajiwabidhaa.
AkizungumzakatikaseminayamafunzoyawajasiriamaliyaliyotolewanaTaasisiya My HealthFoundation kwawaanawakewakiislamuManispaayaMorogoroMkurugenziwaShuleyaMsingi
Green Apple, MwajabuDhahabuamesemawajasiriamaliwengihawatengimudawakukaanawatotowao.
“katikamalezikina mama tujaribukuwakaribunawatotowetu,
maanawazaziwengineniwakali, niwazaziwaoda, fanyahiki… fanyakilehawampimudawakumsikilizamtoto”
amesema.
MleziwawanawakewakiislamuMkoawaMorogoro,
RamraDaudamekilikuwepokwatatizo la wanawakekushindwakuwajaliwatotowao,
kwaniujasiriamaliumekuwamwingikulikokuwafikiriahabariyawatoto.
“watotokwakweliwanaharibikasanakimalezi, mama
nimuhimilimkubwandiyochuo cha elimuya kwanza
kwamtototumekuwabizenamaleziyawatotoyamesahaulika” amesema.
KwaupandewakeMwanahamisAbdalah,
ambayenimmojakatiyawanawakewaliohudhuriamafunzohayoamesisitizakuwawanawakewakiislamukuwaleawatotokatikamisingiyakiimaniilikuwaandaakujakuwawanawake
bora wakesho.
Piaamewaombawanaumenajamiikwaujumlakuwajibikakatikamaleziyawatotopasipokumtegemeamwanamkepekeenyumbani,ambayewakatimwingineanakabiliwanachangamotozakiuchumi.
Na; Hamad Rashid, Morogoro.
0 comments:
Post a Comment