Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Watoto wanusurika katika ajali ya moto ilio tokea leo morogoro.


TKT
Waandishi wa habari wanusurika kwenye ajali ya kuungua moto iliotokea leo jioni katika manispaa ya Morogoro,Kwa taarifa za awali moto huoumesababishwa na kulipuka kwa mitungi ya gesi iliokuwa ndani ya nyumba,maeneo ya kata ya Mafisa.

 Aidha kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa morogoro Wilbrod Mtafungwa amesema ajali hiyo imetokea majila ya saa tisa alasili majeruhi hao ni Omary Husein(Star tv),Nichoraus Mwanabarusi(Global Tv),Salum Yusufu(Abood Media) na Hassan Niga(Tv Imani),hatahivyo Mtafungwa amesema hakuna mtoto yeyote alie kufa katika ajali hiyo.


Kwaupande wake mkuu wa wilaya ya Morogoro mjini Regina Chonjo ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa Morogoro kuwa makini na majiko ya gesi ya kupikia, ameyasema hayo alipo watembelea majeluhi hao wa moto katika hosipitali ya Rufaa ya mkoa.

Post a Comment

0 Comments