Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

Watoto wasithubutu kuolewa wakiwa na umri mdogo

Kuna changamoto nyingi-Christina Joseph, Uchumi duni katika jamii, pamoja na mambo mengine, unatajwa kuwa moja ya chanzo cha ndoa za utotoni ambapo watoto katika umri mdogo wanajikuta wakilazimika kuwa akina mama na kuanza majukumu ya kiutu uzima wakiwa wadogo.

Mmoja wa walioingia katika ndoa za utotoni ni Christina Joseph mkazi wa kata ya Mkundi iliopo Manispaa ya mkoa wa Morogoro,alie fanyiwa mahojiano na Tkt/Un Radio kuhusu maisha ya usichana na mimba za utotoni.

Aidha bi,Chtistina ameeleza hayo katika hospitali ya rufaa mkoa wa Morogoro katika wodi la mama wajawazito,ameeleza yaliyomsibu na kutoa ushauri kwa wengine,kuacha kutamani maisha mazuri wangali wadogo.

Post a Comment

0 Comments