Mama ukizingatia unyonyeshaji utaepukana na saratani ya matiti.

Wiki ya unyonyeshaji huanza tarehe 01-07 August ya kila mwaka,kuhamasisha wazazi kuhakikisha wana wanyonesha watoto wao kwa wakati unaopaswa.
Faida za unyonyeshaji kwa Mama husaidia kupunguza shinikizo la damu,Saratani ya matiti,magonjwa ya moyo na Kisukari.

Asilimia 97 watoto walio chini ya miaka 2 wanapaswa kunyonyeshwa maziwa ya mama na sio mengine hii humsaidia mtoto kuongeza uwezo wa kinga za mwili wake.
 

Share this:

CONVERSATION

0 comments:

Post a Comment

All rights reserved Tanzania Kids Time | Developed by EDUMEK