Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

IDADI YA WATOTO TANZANIA MWAKA 2014.

Ripoti ya mwaka 2016 inaonesha Idadi ya watoto nchini Tanzania mwaka 2014, wenye umri wa kwanzia miaka mitano hadi Kumi na Saba (5 – 17).

 

UMRI

JUMLA YA WATOTO

WATOTO WA KIUME

WATOTO WA KIKE

Miaka 5 – 17

14, 666,463

7, 553,446

7,113,017

Miaka 5 – 11

8,741,496

4,459,246

4,282,251

Miaka 12 – 13

2,318,570

1,219,936

1,098,634

Miaka 14 – 17

3,606,396

1,874,264

1,732,133

Takwimu hizi ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS, serikali na shirika la kazi duniani ofisi ya tanzania- ILO.

Imeandaliwa na John Kabambala & Hamadi Rashid.

Post a Comment

0 Comments