Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU ZA MKOA ULIO NA WATOTO MASIKINI ZAIDI

 

UTAFITI: WATOTO WA MKOA WA RUKWA NI MASKINI ZAIDI TANZANIA.

Matokeo ya Utafiti wa hali ya Uchumi Tanzania Mwaka 2017/2018 yanaonesha Mkoa wa Rukwa unaongoza kwa kuwa na watoto Maskini zaidi kwa upande wa Chakula na Mahitaji ya Msingi.

Aidha Mkoa wa Dar es salaam umekua na kiwango kidogo katika upande wa umaskini wa mahitaji ya Msingi wakati Mkoa wa Mara nao ukiwa na kiwango kidogo cha Umaskini wa Chakula kwa watoto wa umri wa miaka 0-17.

Jedwali hapa chini linafafanua maelezo yaliyotangulia hapo juu, kwa mujibu wa Utafiti wa Serikali kupitia kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2018.

MKOA.

UMASKINI WA MAHITAJI YA MSINGI

UMASKINI WA CHAKULA

RUKWA.

47.6%

21.2%

DAR ES SALAAM.

9.6%

------------------------------------

MARA.

----------------------------------------------

1.9%

Imeandaliwa na John Kabambala & Hamad Rashid.

Post a Comment

0 Comments