Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: MOROGORO YASHIKA NAFASI YA PILI KITAIFA KWA MIMBA ZA UTOTONI TANZANIA

 

                                                        picha kutoka SoundCloud  

Takwimu za Best 2020 zimeonesha Mkoa wa Morogoro kuwa unaidadi wa wanafunzi wa Sekondari 389 waliopata ujauzito kwa Mwaka 2019 juu ya Mkoa wa Mwanza ulioongoza kwa kuwa na idadi ya wanafunzi 491 waliopata Mimba.

NAFASI KITAIFA

MKOA

IDADI YA MIMBA ZA UTOTONI

01

Mwanza

491

02

Morogoro

389

03

Dodoma

381

04

Mara

369

05

Ruvuma

327

06

Mbeya

318

07

Arusha

254

08

Tabora

249

09

Iringa

240

10

Tanga

234

11

Geita

229

12

Shinyanga

199

13

Kilimanjaro

192

14

Simiyu

160

15

Pwani

158

16

Singida

153

17

Rukwa

148

18

Kagera

145

19

Manyara

133

20

Kigoma

129

21

Lindi

110

22

Mtwara

110

23

Njombe

98

24

Dar es Salaam

89

25

Songwe

59

26

Katavi

34

 

JUMLA KUU

5,398 = 5.5%

                                          Chanzo: - Kitabu cha Takwimu za Elimu (BEST -2020).

   Zimechambuliwa na Wandishi wa habari:-

 John Kabambala kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid hamadrashidhd@gmail.com

 

Post a Comment

0 Comments