Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: HALMASHAURI YA GEITA INAONGOZA KWA MIMBA ZA UTOTONI TANZANIA.

 

Kwa mujibu wa  ripoti ya kitabu cha Takwimu za Elimu  Best 2020, Halmashauri ya Wilaya ya Geita inaongoza kuwa na Idadi ya wanafunzi  105 kati ya wanafunzi  5,398 wa Sekondari waliopata Ujauzito katika Halmshauri 185 zilizopo Nchini  mwaka 2019.

JINA LA HALMASHAURI

IDADI YA MIMBA

 

NAFASI KITAIFA

GEITA

105

1

DODOMA CC

96

2

KILOSA

94

3

MAGU

87

4

RORYA

82

5

IRINGA

79

6

MBINGA

78

7

MBEYA CC

77

8

KITETO

63

9

NKASI

63

10

ARUSHA CC

62

11

SIKONGE

55

12

KILINDI

53

13

BUSEGA

52

14

MOSHI

51

15

SHINYANGA

49

16

BUKOBA

40

17

KILWA

40

18

MBOZI

39

19

IKUNGI

38

20

KIGOMA/UJIJI MC

34

21

MKURANGA

32

22

TEMEKE MC

31

23

MAKETE

24

24

MASASI

23

25

MPANDA MC

20

26

 

Chanzo: Kitabu cha Takwimu za Elimu (BEST -2020).

Wachambuzi wa Takwimu hizi ni Wandishi wa habari:-

John Kabambala kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid hamadrashidhd@gmail.com

 


Post a Comment

0 Comments