Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: HOSPITALI YA RUFAA MOROGORO INAONGOZO VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI.

 


                                         Chanzo cha picha:habari leo

Kwa mujibu wa Hotuba ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto ya Mwaka 2020/2021, Mkoa wa Morogoro una idadi kubwa ya vifo vilivyotokana na uzazi katika Hospitali ya Rufaa, katika kipindi cha kuanzia 2018/2019 hadi 2019/2020.

 Sambamba na hilo Hotuba hiyo pia imefafanua idadi ya akina Mama waliojifungua salama katika kipindi cha kuanzia 2018/2019 hadi 2019/2020,Kila Hospitali za Rufaa Tanzania Bara.

 

NA.

HOSPITALI

WALIOJIFUNGUA

VIFO VILIVYOTOKANA NA UZAZI.

WALIOJIFUNGUA

VIFO VILIVYOTOKANA NA UZAZI

         2018/2019

            2019/2020

1

Amana

10,306

12

7,250

8

2

Bombo

4,499

15

3,371

7

3

Bukoba

2,817

3

2,163

7

4

Dodoma

6,344

32

5,315

13

5

Geita

5,774

25

4,310

14

6

Iringa

3,483

12

1,751

5

7

Katavi

4,678

10

3,027

12

8

Kitete

4,105

14

3,202

6

9

Ligula

1,858

5

994

1

10

Manyara

943

3

907

1

11

Maweni

1,154

12

896

9

12

Mawenzi

2,417

2

2,133

1

13

Mbeya

3,218

7

2,535

2

14

Morogoro

5,299

34

3,960

20

15

Mount Meru

5,509

21

4,091

15

16

Musoma

3,718

4

2,321

8

17

Mwananyamala

8,299

11

5,768

7

18

Njombe

2,429

4

59

1

19

Sekou Toure

7,151

6

5,208

8

20

Shinyanga

3,108

21

2,475

9

21

Simiyu

2,132

11

-           

-           

22

Singida

4,448

15

2,735

9

23

Sokoine

1,566

9

906

5

24

Songea

7,244

8

5,485

4

25

Songwe

3,417

10

3,457

6

26

Sumbawanga

5,134

16

2,281

9

27

Temeke

8,563

9

4,417

2

28

Tumbi

1,482

13

1,298

8

 

JUMLA

120,696

345

82,315

197

Kwa mujibu wa Hotuba hii, Njombe na Simiyu ni Hospitali mpya ambazo zimeanza kutoa huduma mwezi Julai 2019. Katika kipindi hiki, Simiyu ilikuwa haitoi huduma za kujifungua. Aidha kwa mwezi Januari 2020, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi imesimamisha kutoa huduma za kujifungua kwa ajili ya kufanya ukarabati. Huduma hizi zinatolewa katika kituo cha Afya Irembo.

Chanzo: Hotuba ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto.

Wachambuzi wa takwimu hizi ni: -

John Kabambala kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid hamadrashidhd@gmail.com

 

 

 

Post a Comment

0 Comments