Advertisement

Responsive Advertisement

Navigation Menu

TAKWIMU: SEKTA ZA MISITU, KILIMO NA UVUVI ZINAONGOZA KUTUMIKISHA WATOTO

 

Watoto 4,664,201 walihusishwa kutumikishwa katika Sekta za Misitu, Kilimo na Uvuvi huku watoto wa kiume wakiongoza kwa idadi kubwa ya watoto 2,509,864 kutumikishwa ambapo watoto wa kike waliotumikishwa wakiwa 2,154,337 Mwaka Mwaka 2014.

Aidha jedwali hapo chini linaonesha maeneo mengine yaliyoathirika na utumikishwaji wa watoto nchini katika kipindi cha Mwaka 2014.

SEKTA ZINAZOTUMIKISHA WATOTO.

JUMLA

WATOTO WA KIUME

WATOTO WA KIKE

Jumla

5,066,890

2,662,098

2,404,792

Kilimo, Misitu na Uvuvi

4,664,201

2,509,864

2,154,337

Machimbo

30,827

13,493

17,334

Viwanda

14,759

4,090

10,669

Ujenzi

5,868

5,706

162

Kalakana za vyombo za vyombo moto

154,997

84,672

70,325

Usafirishaji na uhifadhi

7,243

7,243

-           

Huduma za Chakula na Malazi

46,553

12,393

34,161

Maeneo ya Utawala

2,000

1,742

258

Shughuli za Afya ya Binadamu na kazi za kijamii.

2,300

-           

2,300

Sanaa

170

170

-           

Kazi za majumbani

131,741

20,830

110,911

Kazi nyinginezo.

6,231

1,895

4,335

TAKWIMU HIZI NI KWA MUJIBU WA UTAFITI ULIOFANYWA NA: -

Ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS,

Serikali na

Shirika la kazi duniani - ILO ofisi ya tanzania.

Nakuchambuliwa na wandishi wa habari:-

John Kabambala -Email: kabambalajohn@gmail.com

Hamad Rashid –Email: hamadrashidhd@gmail.com

Post a Comment

0 Comments